Dr Jeremiahs
Member
- Sep 4, 2020
- 39
- 306
"Kwa nia njema kabisa ya kuitunza amani ya moyo, usitafute kujua kila kitu"
Ni jambo jema kujua ukweli wa mambo kwa marefu na mapana, lakin kuna baadhi ya mambo acha yakupite Tu ili kutunza amani yako.
Wakati mwingine hata kwa Mpenzi wako usitafute kujua kila kitu kuhusu yeye, wanadamu hatujakamilika na hakuna mtu mkamilifu. Mjue kiasi ila usitake kumjua sana.
Tunaishi kwenye ulimwengu uliojaa kila aina ya maarifa, dhana na imani. Utandawazi umefanya dunia iwe kama kijiji. Hivi leo kuna imani ambazo hata zamani hazikuwepo. Acha zikupite.
Maarifa yakizidi huwa ni mzigo kwenye moyo, Relax jifunze mambo yako ya muhimu, Fanya ibada, kula matunda, zingatia mazoezi, ishi maisha. Kuwa mjinga kwa baadhi ya mambo, hivyo ndivyo utakavyoitunza amani yako ya Moyo.