For your peace of mind, don’t try to understand everything

Dr Jeremiahs

Member
Joined
Sep 4, 2020
Posts
39
Reaction score
306
"Kwa nia njema kabisa ya kuitunza amani ya moyo, usitafute kujua kila kitu"

Ni jambo jema kujua ukweli wa mambo kwa marefu na mapana, lakin kuna baadhi ya mambo acha yakupite Tu ili kutunza amani yako.

Wakati mwingine hata kwa Mpenzi wako usitafute kujua kila kitu kuhusu yeye, wanadamu hatujakamilika na hakuna mtu mkamilifu. Mjue kiasi ila usitake kumjua sana.

Tunaishi kwenye ulimwengu uliojaa kila aina ya maarifa, dhana na imani. Utandawazi umefanya dunia iwe kama kijiji. Hivi leo kuna imani ambazo hata zamani hazikuwepo. Acha zikupite.

Maarifa yakizidi huwa ni mzigo kwenye moyo, Relax jifunze mambo yako ya muhimu, Fanya ibada, kula matunda, zingatia mazoezi, ishi maisha. Kuwa mjinga kwa baadhi ya mambo, hivyo ndivyo utakavyoitunza amani yako ya Moyo.
 
We jifanye kipofu ndo utajua, kama yapo utajua tu na utayaona hapo nd utaimia zaid, Cha muhimu jifunze kukubali uhalisia hapo utaishi kwa Amani, na si kujificha eti usijue mabaya yake hapana, ukijua Kuna sehemu utajiokoa, lkn ujifanya kipofu siku ukijua umeshaungua, na hutajisaidia. Niamini na ukubali ukweli
 
Hakuna haja ya kuupuuza. Fata moyp wako....watoto wa af2000 wanakufaa zaidi😄
siwataki wa alfu mbili hawakati, wanataka pesa nyingi, muda wowote unawafumania!, yani kuwa nao wale ni kama upo mkabala na serikali kama sio jela basi hospitali..

mi nakutaka wewe, no worries,no stress, no government issues, nyamnyam at any time, you know how to control when it comes about pregnant and also money money is not honey honey to you...😅

Hapo vipi mpenzi wangu nikupendae...?
 
Aloo pesa nataka. No romance without finance
 
Nadhani zile post za Uwepo wa MUNGU au kutokuwepo, au zile post za mwanzo wa uumbaji zinawaumiza sana watu vichwa ndio maana ndio post zinazoongoza kuwa na comment nyingi ukiacha post za ulevi na ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…