2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Forbes ya orodhesha miji hatari zaidi uko US.
Taja miji mitatu hatari kwenye Nchi yako??!! 🤔
Taja miji mitatu hatari kwenye Nchi yako??!! 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamhuri ya Watu wa Sogodo- Dar es SalaamForbes ya orodhesha miji hatari zaidi uko US.
View attachment 2633896
Taja miji mitatu hatari kwenye Nchi yako??!! 🤔
2. Njombe1.Geita
2-
3-
Kaliua, hahahaaa! Ila ni kweli mkuu, naunga mkono1. Tabora - Kaliua
2. Tarime - Nyamongo
3. Geita - Municipal
Sogodo mwananyamala msufini,pale ni uwanja wa fisi mpya😂😂Jamhuri ya Watu wa Sogodo- Dar es Salaam
Nonde - Mbeya
Unga Limited - Arusha
Mndenga - Mtwara