FORBES: 20 most dangerous place to live

Hahahaha ila we jamaa Unaichukia vibaya Kenya
 
Kazi mlionayo tu ni kupinga pinga kila kitu ili muwachonganishe serikali na raia [emoji23][emoji23][emoji23]
Btw niko CDM pia.
Mimi sina chama chochote, ila nimeguswa na pia kuchukizwa mno na matendo yanayoendelea nchini. Kwahiyo usinilazimishe nikubaliane na wapuuzi wachache wanaodhani Tanzania ni nchi ya amani, kitimoto wewe.
 
Bwahahaaaa!!!wataje wazungu watano kenya ni kutajie wahindi na waarabu ishirini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eti ni watanzania..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmekaliwa chapati...yule mnayemtegemea kafa maskini
 
Tanzania pia yanatokea ila si ya kiwango cha kiuhalifu kama Kenya na SA. Kule malengo ni kujipatia mali kutokana na hali ngumu kimaisha. Kwa bongo incidence chache zinazotokea kwa kiasi kikubwa zina mlengo kisiasa.
Mkuu, hebu jaribu kuwa "serious" kidogo, watu tunaishi kama "digidigi" kwa hofu na mashaka makubwa kila siku, tukihofia kutekwa na "genge" la wanaojiita wasiojulikana halafu unataka kulazimisha kwamba tuna amani? Shenzi kabisa.
 
Unadungwa sindano na mwenzako...imekuingia mpka unajitia kicheko...kwn unataka aunge mpka juhudi za kutekana..kweli ccm imekuathiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa pinga pinga FC
Mimi sina chama chochote, ila nimeguswa na pia kuchukizwa mno na matendo yanayoendelea nchini. Kwahiyo usinilazimishe nikubaliane na wapuuzi wachache wanaodhani Tanzania ni nchi ya amani, kitimoto wewe.
 
Eti watu wanaishi kama digi digi embu kuwa na aibu kidogo, embu tembelea hizo nchi zilizotolewa hapo juu alafu ukirudi anzisha uzi humu.
Mkuu, hebu jaribu kuwa "serious" kidogo, watu tunaishi kama "digidigi" kwa hofu na mashaka makubwa kila siku, tukihofia kutekwa na "genge" la wanaojiita wasiojulikana halafu unataka kulazimisha kwamba tuna amani? Shenzi kabisa.
 
Siwezi dungwa na wakumbafu kama wewe
Unadungwa sindano na mwenzako...imekuingia mpka unajitia kicheko...kwn unataka aunge mpka juhudi za kutekana..kweli ccm imekuathiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Syria imekosaje kuwemo kwenye hii list?
 
Mkuu, hebu jaribu kuwa "serious" kidogo, watu tunaishi kama "digidigi" kwa hofu na mashaka makubwa kila siku, tukihofia kutekwa na "genge" la wanaojiita wasiojulikana halafu unataka kulazimisha kwamba tuna amani? Shenzi kabisa.

Ukiona una wasi wasi hivyo ujue wewe ni tatizo kwa jamii. Maana ungekuwa raia mwema ungekuwa na full shangwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…