And yet they're the super powers of Africa
Wewe jamaa tangu nikufuatilie na kukuona sura yako na maisha yako halisi, nilikuona unavimba kwenye mitandao kumbe nyambafu tu.
Xenophobia, in additionMany congratulations to our neighbour for representing well our continent. Kenya and South Africa have got many similarities, namely
1)Crime
2)Slums
3)Tribalism
4) Small segment of people(whites) to large part own land
5) Few people to own GDP, while majority have nothing
I am sure next report Kenya will be above South Africa on this list.
Message umeshaipata. Acha kutapatapa.Because you are following my private life that much, you must be a fan or someone with a very boring life.
Pia. Sina tabia ya kuongelea watu, naongelea hoja.
Small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.
Twende kwenye hoja.
Hujathibitisha. Unazusha tu.
Twende point kwa point kuhusu hoja zangu.
Inawezekana mimi nyambafu.
Lakini wewe kusema mimi nyambafu bila kuonesha nyambafu wapi, kivipi wewe unakuwa nyambafu zaidi yangu.
Message gani? Kwamba wewe ni mzushi?Message umeshaipata. Acha kutapatapa.
KenyaWazungu bwana eti USA ni 16 pamoja na fujo zoteView attachment 1200588
Message kuhusu kuwa tunakujua.Message gani? Kwamba wewe ni mzushi?
Nitumie jina langu PM nijue uko serious.Message kuhusu kuwa tunakujua.
Be free. Kwani PM ndiyo siri!?Nitumie jina langu PM nijue uko serious.
Mnanijua nyie nani?
Na kunijua kunakanusha vipi hoja zangu?
Hunijui. Acha uzushi.Be free. Kwa PM ndiyo siri!?
Na hizo mipicha za Kenya no zaidi ya miaka 12 zilizopita.Hii si ya leo wala jana, ni zaidi ya miaka 5 iliyopita..