Forbes 40 powerful celebrities in Africa

Haya list nimeshaimalizia..vipi mtizamo wako kwa wanaija kuwa na wawakilishi zaidi ya 1/4

Sasa na wewe nae, pale kwenye namba 40 si ungeongezea 41 ukaweka japo na FF tu. Hukunitendea haki. Ntaandamana.
 
Kanumba, ray, lulu, aunty ezekiel ..¡?
 

Jaribu kupitia maana halisi ya Celebrity , halafu utagundua wanasiasa sio celebrities.
 
haiwezekani, hawa jamaa wamechakachua

Huwezi kuwa na listi ya maselebu wa africa akakosekana vicky kamata, JK, Mugabe, na juma nature
 



The UBS Rogue Trader (London SE)
Osi Umenyiora (NFL DT)
MacDonald Mariga, (Inter Milan Midfielder)
Josef Addai, (NFL RB)
Jerry Azuma, (NFL)
Hakeem Olajuwon (NBA legend and the greatest Center of all time)
Charlize Theron (Holywood star)
Ratif Goosen (PGA player)
Rory Sabatini (PGA player)
Weuiihuizen (PGA player)
Brian Orakpo (NFL DT)
Kenichi Udeze (NFL)
Nnamdi Asomugha (NFL CB)
Mr Moshiri (Atlanta up and coming Tycoon)
Frank Macha (GM Oakland A's) MLB
Aisha Ceesay (CNN Anchor)
Mathias Kiwanuka (NFL)
Ali Velshi (CNN senior/all street correspondent)
Faiza Foxx (JF senior member)
 
Jamani mimi naomba nifahamishwe, Mwanamuziki wa afrika aliye tajiri kuliko wote ambaye anaishi afrika, namaanisha sio kama Akon anaeishi marekani
 
Hii list wamejaa wa west africa, wa south na kenya kidogo!
Upuuzi mtupu!
Mbona hakuna wabongo, wakina ally kiba, Prof J, AY, Kanumba, Ray, Hassanali, Rhemtullah, Jerry Muro, Aunt Ezekiel and such?!
Sawa, labda hawana mahela kama hao, ila wana iinfluence kubwa hapa nchini kwetu!
Hawakukumbuka hata kuwaweka watu wa taasisi za jamii, wanaopigania haki zetu wabongo?!
Mie siikubali hio list hata kidogo!
 






vigezo??
 
Unazungumzia Celebrity wa Tz hivi hujui kwamba hata list ya nchi zilizopo duniani, Tanzania inaweza kusahaulika maana nakumbuka kuna kipindi nilikuwa napiga story Club nikiwa Indonesia jamaa akaniuliza origin yangu nikamuambia natoka Tz akaniuliza ipo wapi? nikajibu ipo East Africa akasema ooook!! how is Nairobi by the way? ilini-embarrass moyoni
 
Mange,Makambas,Ruge mbona hawapo? Forbes fake sana

ivi wewe..unafikiri hao kina Mange wako na Makamba na Ruge wamefanya chochote kuwa recognized Internationally na chombo kama Forbes? una kichaaa..baki nao huko huko bongo yenu
 
wamenisahau mimi pamoja na Amr Diab musician wa Misri
 
haikuwa fea. watz weng hawakujua hicho kitu,coz km tungejua,tungepigia kura nasisi wetu kbaooooooooo!
 
Vigezo wanavyotumia ni web hits na mara ambazo mtu anakuwa kwenye news. Sasa wengi hapa bongo hawana hata websites, na magazeti yetu ya udaku yanayowaandika ndio hivyo tena
 

nishawahi kukutana hali kama yao.ts so embarassn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…