Mkuu, African people especially Tanzanian we are not serious any howSi wako kwenye matengenezo jmn hii nchi jmn sisi ndo tutapata shida marekani ndo wangekua wabongo wangeandamana ila sisi mh ngoja tuone picha
U help me a lot mkuu dah umenielewesha kwa kifupi sna ila nimekuelewa kwa kirefu sna tena zaidMkuu, African people especially Tanzanian we are not serious any how
Kinachotokea hapa sisi tumekua tunasimuliwa tu sio kwel hao waongo mara wapiga dili ikijulikana ukwel ooh walitaka bure sisi tunakosa ajira wao bado wanamishahara miwili na bado tunacheka kisa mimi nko kazin jiran amekosa ajira ndo mana ushilikina auishi tz jmn kwel tukatae unyonge naunga mkonoIfike wakati Watanzania tukatae unyonge jamani, hali inazidi kuwa ngumu kila kukicha, ni wafanyakazi wangapi watapoteza kazi? Tusicheke na huyu JPM na kumsifia wakati uchumi unadidimia.
Asante mkuuU help me a lot mkuu dah umenielewesha kwa kifupi sna ila nimekuelewa kwa kirefu sna tena zaid
Gesi ya bure hatuna. From mh. WaziriAsante mkuu
Kwa akiri ya kawaida mfanya biashara kama Dangote hawezi taka gas ya bure hata siku moja, wanatafta mlango wa kutokea tu hapoGesi ya bure hatuna. From mh. Waziri
Ujuma ya viwanda vya cement amini usiamini wanawapa kiburi serikali ili wao wakae kwenye soko kwa amaniSerikali ya Magufuli imejaa wababaishaji sana.