Forbes: Floyd Mayweather ndio mwanamichezo tajiri zaidi duniani. Ampiku Messi na Ronaldo

Huyu si ndiye aliyesema hatosaidia nchi za Africa coz hazina msaada wowote kwenye mafanikio yake!!
Tena ilikua live interview.
 
Huyu si ndiye aliyesema hatosaidia nchi za Africa coz hazina msaada wowote kwenye mafanikio yake!!
Tena ilikua live interview.
Ndio alikuwa sahihi kabisa!
Alisema ukweli wake anao ujua

Waafrika tumezoea kulia lia na kutaka sympathy zisizo na maana!

Wazfa mtamu ule unaotolea jasho sio hela za kusaidiwa!
 
Huyu si ndiye aliyesema hatosaidia nchi za Africa coz hazina msaada wowote kwenye mafanikio yake!!
Tena ilikua live interview.

Afrika aihitaji misaada kutoka nje, kuna kitu tofauti kifanyike kwani hatuwezi kuendesha bara hili kwa kuombaomba tu wakati tumejaaliwa kila kitu.
 
hayo ni mapato kwa mwaka,sio utajiri wa jumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…