Niko Kenya. Huyo Janerose umekutana naye ama umejua aje kwamba hakuna aliye zaidi yake? Na unajua vipi kama hana mume tayari? Swali langu hakulijibu. Uliishi Kenya ukifanya nini? Ulikuwa mwanafunzi au mwanabiashara?Hakuna zaidi ya Janerose, wengine naona sura zao zime beat kama rasa za nyanya zao [emoji3]. Vipi ww umesharudi kwa area
Naomba ishu ya Jane tuiache, sitaki kumwaga mpunga kwenye kuku wengi. Kenya nilikuja kufanya research " Effects of tribalism in African politics" [emoji3][emoji3][emoji3]. Kila uchaguzi ukikaribia nakuja ku update taarifa zangu, nakatiza embakasi airport then naelekea Mukuru Kayaba kwa ma boyz wa nguvu via Msa road [emoji16]Niko Kenya. Huyo Janerose umekutana naye ama umejua aje kwamba hakuna aliye zaidi yake? Na unajua vipi kama hana mume tayari? Swali langu hakulijibu. Uliishi Kenya ukifanya nini? Ulikuwa mwanafunzi au mwanabiashara?
Nilikuwa nimekupa heshima lakini umejibu hilo swali kwa kejeli sana. Ni vizuri kuwa serious saa zingine.Naomba ishu ya Jane tuiache, sitaki kumwaga mpunga kwenye kuku wengi. Kenya nilikuja kufanya research " Effects of tribalism in African politics" [emoji3][emoji3][emoji3]. Kila uchaguzi ukikaribia nakuja ku update taarifa zangu, nakatiza embakasi airport then naelekea Mukuru Kayaba kwa ma boyz wa nguvu via Msa road [emoji16]
Sorry mkuu Tony... Kuna kipindi nilikua nina issue za Nai na Kla nilikua napita pita pande hizo. Details zingine hapa sitoweza kuzimwaga. Ata mimi nakuheshimu sana, mijadala yako mingi unajitofautisha nakina Mwasiti, keep it up bro.Nilikuwa nimekupa heshima lakini umejibu hilo swali kwa kejeli sana. Ni vizuri kuwa serious saa zingine.
Poa.Sorry mkuu Tony... Kuna kipindi nilikua nina issue za Nai na Kla nilikua napita pita pande hizo. Details zingine hapa sitoweza kuzimwaga. Ata mimi nakuheshimu sana, mijadala yako mingi unajitofautisha nakina Mwasiti, keep it up bro.