Forbes: Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017

Shika itapendeza 900
 
Shika itapendeza 900
 
thanks moderate kwa-kuuweka sawa uzi wangu
 
wapi rostam, dangote nae utajili hauongezeki
 
Mbona sijaona jina la Dr Shika...[emoji15] [emoji15]
 
26. Joel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hii ni orodha kwa mapenzi yako siyo halisi. Fanya utafiti wa kutosha. Huyo Dewji ni siasa tu za kutafuta kiki, mara apande bodaboda. Mwishowe aongezwe Dkt. Shika, Luis, Phd, Msc, Bsc.
 
Jamani mimi nashindwa hata kuwa tajiri wa ukoo???hii dunia haina usawa aisee ila poa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…