Forbes :Mo Dewij Ndiyo Billionaire East Africa

So not getting food donations leads to an LDC status? Wacha hizo donations zije kwa wingi bora tuepuke LDC status.
The day when we start getting food donation from all over the world, the day when we will be categorised as one of the country with severe hunger like Somalia, South Sudan, DRC, Central Africa Republic, Kenya and Yemen, that is the day we will be happy to be named as Lower middle income country[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mo' ndie mfanya biashara asiefanya biashara za kifisadi na kukwepa kodi akofuatiwa ma Mengi.

Wengine wote wasanii
 
Sidhani kama Mo ni tajiri kushinda Uhuru kenyatta ama moi pia biwott.
labda juu ni wanasiasa mali yao waliipata through corruption.
 
Tufanye hesabu kidogo, Tanzania iko na one billionaire net worth $1.6B alafu iko na 2,400 millionaires, lets assume kila millionaires ako na $1m tu, that will be total net worth of $2.4B making all the wealthy people in Tz have a net worth of $4B.

On the other hand Kenya has 9,400 dollar millionaires, that's at least $9.4B

Sasa ni nchi gani ndo iko na utajiri kati yahizo mbili
 
Siwezi shangaa... yule wa azam group kuwa nyuma ya huyu wa Metl...

yule ukianza azam tv... ya mwingine, appartments za mwingine, maboti ya mwingine, timu ya mwingine... nk...

huyu wa Metl kwa asilimia kubwa kubwa ni vyake... hawa wakina azim dewji, kassim dewji, nk wana vyao... hawapo ktk hii Metl
 
Source ??
 
Sidhani kama Mo ni tajiri kushinda Uhuru kenyatta ama moi pia biwott.
labda juu ni wanasiasa mali yao waliipata through corruption.
Acha hizo, kubali kwamba hamna billionaire, utajiri wa Kenyatta family ni $500M, hajamfikia hata Reginald Mengi ambayebanashika namba nne huku Tanzania an $650M.
 
Japo huu mjadala wa kujisifia matajiri ndani ya nchi masikini ni mjadala nisioupenda kwa sababu ni mjadala wa kijinga sana, lakini kwa ujumla Tanzania utajiri wa matajiri ni mkubwa zaidi ya matajiri wa Kenya, MO ana 1.6B, Rostam Aziz ana $900M, hawa wawili pekee wana jumla ya $2.5B, hii ni sawa na jumla ya top five richest people wa huko Kenya.
 
Acha hizo, kubali kwamba hamna billionaire, utajiri wa Kenyatta family ni $500M, hajamfikia hata Reginald Mengi ambayebanashika namba nne huku Tanzania an $650M.
Unaongea tu....hawa wanasiasa wameiba pesa mob sana,,,euro bond pekee ni over $2b.
Ata yule rais wa libya alipokuwa mali yake ilikuwa zaidi ya Bill Gate kwa mbali sana.
 
Unaongea tu....hawa wanasiasa wameiba pesa mob sana,,,euro bond pekee ni over $2b.
Ata yule rais wa libya alipokuwa mali yake ilikuwa zaidi ya Bill Gate kwa mbali sana.
Sasa wewe unataka kuzungumza vitu visivyokua na ushahidi, ni vitu vya kufikirika, Forbes ndiyo kazi zao kufuatilia hayo mambo, wao walitoa hizi taarifa hata kabla ya Kenyatta kuwa rais wa Kenya, na mali za Uhuru zinahesabika katika kundi la Kenyatta family, sasa ukitaka kila mtu azungumze vile anavyofikiria yeye bila ushahidi, tutaanza kudanganyana.
 
assume ya uongo [emoji23][emoji23]
Rostam alidrop from $1bln. Hadi $ 900M
Wanaofuata wako na $600M,$575M respectively
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…