Forbes :Mo Dewij Ndiyo Billionaire East Africa

Sidhani kama Mo ni tajiri kushinda Uhuru kenyatta ama moi pia biwott.
labda juu ni wanasiasa mali yao waliipata through corruption.
Siku UK akiweka wazi mali zake wananchi wanamponda kwa mawe
 
Proof?
 
Mo seems to be facing less competition, you can clearly tell that coz hes dominated every sector ,hes a one man show
 
hizo Ni Hesabu, za Kipunguani!!! Topic is how Mo beat You all
 
Unaongea tu....hawa wanasiasa wameiba pesa mob sana,,,euro bond pekee ni over $2b.
Ata yule rais wa libya alipokuwa mali yake ilikuwa zaidi ya Bill Gate kwa mbali sana.
Ropoka Tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…