Forbes: Tanzania Building Properity, 50 year of excellence in East Africa

You have the biggest reserve of gold ( second to Ghana)
The biggest reserve of uranium in Africa
Biggest reserves of graphites in Africa
Gas , Oil ,tonnes of copper,Billions tonnes of coal and iron ore
instead The report should have read
'50 years of wasted opportunities and plunder of resources'
 

Ahaaa haaa haaa
Go to get back the large tracks of land plundered by Kenyatta family, Dalamare at al. Then come to yap here.

 
Hakuna unalolijua.....JPM is for sure touching the life of the normal citizens....
 
Basi mna nn zaidi ya billionaire mmoja na wengine wakiachwa maskini...yani watu wengi bongo level zao ni za umaskini...ndio manake unakuta middle class ni ndogo km piriton
Sasa kati ya kenya na bongo IPI INA masikini wengi...?
 
Maskini...,Wakenya maskini ni chokambaya kwelikweli...national cake ya wachache ila mliobaki kha!!!
Sasa unapiga domo na mnaongoza kwa umaskini katika ukanda huu....ama nikuletee takwimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
T
Sasa unapiga domo na mnaongoza kwa umaskini katika ukanda huu....ama nikuletee takwimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji81][emoji81][emoji81] we nyang'au kweli ww...kwan si tunawaona hali zenu...Hapo hapo Nairobi kuna masikini wa kutupwa wanashindia a single meal per day...sipati picha huko north hali ipoje....poleni na njaa ila majirani [emoji75][emoji75][emoji75]
 
Sasa unapiga domo na mnaongoza kwa umaskini katika ukanda huu....ama nikuletee takwimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Za makaratasi tyuu ila in reality tz hakuna njaa km kenya
 
Kwhyo unapinga km tanzania ndio kuna maskini wengi ukanda huu wetu...
 
Niletee jamaa akifa njaa hko north kw sasa....ukame umeisha baba...kumbe mnaposema kenya maskini wa kutupwa north kumbe mnajifariji na northern kenya wakati wa ukame....duh!!kumbe watanzania ni ni balaa[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]
 
Hahahahaha, ukame umeisha?. 75% ya Kenya ni jangwa, nalo limeisha?. Tangu mumepata Uhuru wenu wakenya hutegemea chakula cha msaada, kila mwaka lazima wakenya wanakufa kwa njaa, hakuna hata mwaka mmoja ambao Kenya haijakumbwa na njaa, ukiona watu wameacha kufa, ni kwasababu ya chakula cha msaada kimefika.
 
Bwahahahaa!!!floods in turkana!!CNN watangaze hii pia...turkana kwanyesha buda...dua yako kaitupie hko njombe kwa wala watoto...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...

Vinavyojiita vyombo vya habari vya kimataifa hii habari haikuwafurahisha kabisa....wao wanataka ukame ueendelee tu kabisa ndio waiweke front page...imekula kwao sasa
 
Ifungulie uzi hii habari pia..
Kichwa hatimae wana turkana wpata mvua hadi mafuriko
 
Hahahhh North wapi mbali sana huko hapohapo tu Nairobi kuna masikini
wa kutupwa....watu wanaishi kwenye vibanda vimejengwa kwa mabati hata Milo mitatu hawawezi afford... Halafu mnakuja kujisifia na GDP inawasaidia nn masikini hiyo GDP... Life's too tough for the majority in Kenya dooh!!!
 
Kweli kabisa...kila mwaka pindi ukame unapokuja lazima wafugaji wateseke ju mimea hufa na vyakula vyao wanavyovitegemea hko mwituni hukauka pia...we are not in denial...mvua inaponyesha wafugaji wanadunda na mifugo yao km kawaida....

CNN wako wapi...mbna hii habari ya mvua turkana wameikwepa..hawaitangazi daily km ile ya drought..bwahahaha
 
Hao watu unao wataja wanalipia umeme na kodi...una lingine....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unafikiria nairobi ni tandale utarithi hzo uswazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…