FORBES: The Young African Millionaire Lighting Up Tanzania

Inspired and ready to emulate your foot stamp !
Tuache kuwasujudia wanasiasa ,we have a lot alternatives to excel like Mr.Ngowi doing now....stop sluggish of CCMs and CDMs and explore our untapped dreams !
No more 'buku' or 'kiroba' from wanasiasa.
 
ngowi ur my inspiration.,u hv really used the opportunity and ur creativity effectively.
 
Kuna vitu nilivyojifunza;
1. Familia ilikua na imani nae, ( haikusita kumpa mtaji kila pale alipotaka kuanzisha mradi)

2. Ni mtu wa kuangalia fursa zilizopo, ( alianza na vocha sababu ya ugumu wa upatikanaji wake, akahamia katika sola kutoka na upungufu wa nishati kwa nchi).

3. Kaenda kusomea masomo yanayoendana na malengo aliyokua nayo ( solar energy). Kitu ambacho watanzania wengi hatuna, tunasoma kwa mikumbo mara IT, Accounts, i.e bila kujua malengo yetu baadae.

4. Alikua na ndoto ya kujitegemea tangu mwanzoni. Ni kitu cha kujifunza alikua na nia na akawa anaonyesha uthubutu.
 
safi sana...eee Mungu niongoze na mimi
 
daah! very inspiring story from this young tanzanian enterpreneurer..wanasemaga 'every second is the time of struggle and survive' ipo siku japo haijulikani
 
Riz1 akisikia hii habari lazima amuundie zengwe... maana yeye ndie anayetaka aonekane kijana tajiri nchini au Africa nzima kwa ujumla...

Hongera sana Ngowi
 

Mkuu hujui kuwacopy watu?

Hapa kichwa cha Habari ukikiweka kwa Kiswahili

Yanga Afrika Mamilionea wauwasha Tanzania
 
Kumbe yote yanawezekana, tuondoe uvivu na tujitume zaidi pamoja na kuwa na nidhamu na Pesa.
 
Inapendeza Sana Tena Sana, kuna mengi nimejifunza na nitayaingiza kwenye matendo. Mungu akitupa uzima miaka 10 ijayo tutasoma hadithi nzuri yenye wingi wa mafanikio. Tunakuombea kila lililo jema !
 
Vijana kama huyu wapo wengi, hata Mh Hamis Kigwangalla naye amepata mafanikio makubwa kwenye biashara kabla ya kuingia kwenye siasa tena akiwa na umri mdogo sana. Kuna wakati iliandikwa hapa stori yake watu wakarukia kumshambulia badala ya kujifunza kutoka kwake
 
Yes it is very interesting, I think we can learn a lot from his trends of success and achieve something.
 
Go Patrick. I'm so proud of you. Even FORBES has acknowledged and recognized your hard work, wealth and business acumen.
Inaonekana hujatembeza round ya nyama choma na pombe manake wapambe wa kulee mji fulani inashangaza hawajakuita BILLIONAIRE wakati utajiri uliokuwa nao una equivalent ya more than 10 Billions za MADAFU
Go Patrick!
 
Hahahahahaha why? I hope when i will be the same age as ngowi, i will have more than that, kip it u ngowi
 
Mr ngowi hongera kwa hatua uliyofikia, naomba mungu anisadie am on ma may nakuja hapo ulipo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…