FORBES2018: Watanzania Saba walioingia kwenye Orodha ya Forbes ya Vijana 30 Wenye Ushawishi 2018

Uncle Elroy

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
1,177
Reaction score
1,090
The List

1. Rahma Bajun [ Founder - MnM Clothing Line]
2. Idris Sultan [ Founder - Sultan by Foremen]
3. Fahad Awadh [ Founder - YYTZ AgroProcessing]
4. Patricia Majule [ Founder - Unique Favours]
5. Doreen Estacia [ Founder - 102.5 Lake Fm]
6. Rodrique Msechu [ Founder - Anza Strategy]
7. Brigitha Faustin [ Founder - Obri Company]

Be Inspired

Read their Stories Here 30 Most Promising Young Entrepreneurs In Africa 2018
 
Kumbe Lake fm inamilikiwa na mdafada,,!!
Hongera kwake Lake fm the story of Rock City,
Inabamba kinoma,,
 
Simkubali Makonda ila wote hakuna anaemzidi Makonda kwa ushawishi. Hiyo list haina ukweli wowote.
 
Mbona aijaona jina la mwana wa mfalme..[emoji45] [emoji45]
 
Diamond kaanzisha kuvaa crazy sasa vijana wote wanavaa, kaanzisha kuoa nchi jirani naona nchi nzima watu wanaoa nje tu, kaanzisha kushoot video kwa godfather tz ikahamia huko,
 
Diamond kaanzisha kuvaa crazy sasa vijana wote wanavaa, kaanzisha kuoa nchi jirani naona nchi nzima watu wanaoa nje tu, kaanzisha kushoot video kwa godfather tz ikahamia huko,
hiyo ni mpya kwangu kumbe diamond ashawahi oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…