Force Account: Darasa laporomoka Same, lajeruhi 30

Pamona na upigaji ila majengo ya serikali mengi huwa ni imara, hao wapigaji hawakupiga hesabu vizuri.
 
Haya madarasa yakijengwa, DED,TISS,TAKUKURU,DC,DAS,DEO WALIKUWEPO HUKO SAME,AU WOTE WALIKUWA WAMEFULUZWA KAZI?
 
Nondo nyembamba kama kamba ya kuanikia nguo. Itakuwa mm 8 hii
 
Wazanzibar wapumbavu sana
 
Ninashauri, Timu ya Takukuru kutoka mkoa tofauti na Kilimanjaro ikafanye uchunguzi wa mradi huu.

Takukuru mkoa wa Kilimanjaro,hawafuatilii ukaguzi wa miradi tangu inapoanza hadi inapokamilika.
Wao hufika site na kupewa chao mapema.

Wezi wanapitia kusema mradi WA Samia,huku wakinificha na kuzoa mabilioni ya fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…