profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
[emoji23][emoji23][emoji23]Anaetaka kununua hyo 0.km ya 2022 ndo kakutuma uje kuulizia umu
0km unaulizia upatikanaji wa spea ? Halafu gari ya 2022 si rahisi sana kumilikiwa na mtu binafsi hapa bongo na hata kama wapo humu jf si rahisi kuwakuta !!
ndio mkuu,kila mtu ana malengo yake, huyu mzee anakaribia kustaafu tunafanya wote kazi,kesha miliki daladala tata zilikuwa sita na alinunua mpya pale vngunguti,baada ya kuja mwendokasi akauza zote.Anaetaka kununua hyo 0.km ya 2022 ndo kakutuma uje kuulizia umu
huenda kuna watu wamewahi kuendesha au kuitengeneza,ili tujue mazuri na mazaifu yake.0km unaulizia upatikanaji wa spea ? Halafu gari ya 2022 si rahisi sana kumilikiwa na mtu binafsi hapa bongo na hata kama wapo humu jf si rahisi kuwakuta !!
Kutoka kumiliki daladala tata ndo anataka kumiliki Ford everest 0.km ya 2022??.mshauri atafute gari ndogo ya kawaida tu,change inayobaki aendelee kukuza mtaji wake kwanzandio mkuu,kila mtu ana malengo yake,huyu mzee anakaribia kustaafu tunafanya wote kazi,kesha miliki daladala tata zilikuwa sita na alinunua mpya pale vngunguti,baada ya kuja mwendokasi akauza zote...
Gari 0 km ya 2022 unatengeneza nini kaka ? Yani hata service ipo kwenye warrantyhuenda kuna watu wamewahi kuendesha au kuitengeneza,ili tujue mazuri na mazaifu yake.
Sijasema haipo nime sema si rahisi na hata wanoimiliki humu hawapo , huyo mrangi anaweza asifike jf !!!Tembea kaka kuna Mrangi anayo moja hapa Kariakoo………..
kwa sasa hana biashara yeyote,hela iko saccos,amepanda mbegu huko,anasema akistaafu hataki usumbufu wa biashara,yeye atakuwa anatumia hela kidogokidogo na mshahara unaingia kama 1m kila mwezi,na viakiba vyake vitamtosha kuishi hapa dar,hataki stress za biashara..Kutoka kumiliki daladala tata ndo anataka kumiliki Ford everest 0.km ya 2022??.mshauri atafute gari ndogo ya kawaida tu,change inayobaki aendelee kukuza mtaji wake kwanza
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣Anaetaka kununua hyo 0.km ya 2022 ndo kakutuma uje kuulizia umu
Msaada kwa wanaoifahamu, waliowahi kuendesha au hata kumiliki hii gari aina ya FORD EVEREST TITANIUM 2022.
Kuna rafiki yangu anataka kununua hiyo gari 0 km anaulizia;
1. Upatikanaji spea hapa Tanzania
2. Uvumilivu wa barabara za rafu, anakaa dar ila atakuwa anaenda makete mara kwa mara
3. Speed barabarani
4. Durability na comfortability
View attachment 2639963
Yeah hawa jamaa, ndiyo wanaleta hata zile Iones Grenadier1. CMC zipo hizi anaweza kununua atapata warranty
2. Spare zote zipo CMC, cheki instagram fordtanzania