Wanajamvi kwa wale wanaotumia gari za kimarekani aina ya ford exploler ya mwaka 1998 na hawana vipuli vyake..gari ipo haitembei lakin inakila kitu chake, unaweza kuinunua na ukaitumia kama spare pindi unapohitaji.
Bei 4,000,000 Tsh
Eneo; dar
Mawasiliano 0655517964
Kwa mnunuzi aliyemakini bei inazungumzika kidogo.