so ulitaka kila mkenya awe na Ford Mustang???Im sure wanunuzi wakubwa watakua rich Indian Kenyans,white expatriates,na Black Kenyan upper echellon class as usual....no matatu seater will sniff shit...MK254 wasemajeee?Hahaaaa
hehe sasa njoki chege amepata kitoweo, watu wa Mustang hawatapumuaSubaru owners, mwenye kelele mob ameingia kiwanja. beware
so ulitaka kila mkenya awe na Ford Mustang???
Sii utulie !!Ndio,whats your point?...kwani Wakenya wote wakiwa nayo hayo magari kuna ubaya wowote?Hawana haki ya kua nayo?
Sii utulie !!
Pang'ang'a mob ya bure na hakuna mse anataka kukichapia riba yoyote!
Go down some notches and warm ur place ....stop being all over ......nguchi!!!
kwa hivyo wakinunua Benz au Bimmer itakuwa hatia? tafakari maneno ulioandika ili uone mapungufu kwenye ubongo wakoNdio,whats your point?...kwani Wakenya wote wakiwa nayo hayo magari kuna ubaya wowote?Hawana haki ya kua nayo?
kwa hivyo wakinunua Benz au Bimmer itakuwa hatia? tafakari maneno ulioandika ili uone mapungufu kwenye ubongo wako
Nyie manyang'au tafuteni forums za KikenyaSamm999 1.8m mbona tutaziendesha hizi....halafu Nai to county 001 itakua six lane, imagine una cruise hiki kifaa kwenye rodi yote yako, naachia 180km/h nione nini itaburst.
Kwakweli nmejiona kama siishi duniani.. ! [emoji20] [emoji20] [emoji20]jana nimeona mtu na rollsroys phantom!!!! tena alikua ame drop the head roof (convertable) na ata hana wasiwasi anapeleka tu polepole, I felt so sad,,
it looked like thisView attachment 415136
You have a point. Why should Kenyans (and any other African) marvel at a vehicle made thousands of miles away??Wakenya mmeletewa mnunue...cha ajabu ni kipi hapo?I thought ni Kenya made Ford Mustang,itakua ni SA au US made,haijajengwa Kenya,no way!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah kiswahili cha Kenya knanifurahsha xnaSamm999 1.8m mbona tutaziendesha hizi....halafu Nai to county 001 itakua six lane, imagine una cruise hiki kifaa kwenye rodi yote yako, naachia 180km/h nione nini itaburst.