Acha tu Kiongozi.Vipi mkuu
Unataka rangi ipi mkuu? Tufanye biashara nnazo nyingi.Shida rangi
Siku ni moja mkuuYaan hapo naziona harrier 4 in 1 Ranger!!
Daah! Acha niendelee kuota tu
Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
Ila kwenye reliability, Hilux ni nomaMkuu ukilipak tu Hilo wanajua Man in Town
is amazing car mkuu, utaenjoy sana na utafurahia sana. nakuombea uipate, one day yes.Ipo siku nitanunua hii gari .
Amen