Foreign affairs minster spitting mad

Ragamuffin

Senior Member
Joined
May 2, 2009
Posts
160
Reaction score
6
Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe has expressed his government’s displeasure at the conduct of Canadian diplomat Jean Touchette whom allegedly spat on a traffic policeman and a journalist this week in Dar es Salaam.

The allegation is made in IPP Media’s The Guardian a media house with a propensity for allegations with Reginald Mengi (IPP Media’s CEO) recently accusing (without supporting evidence) various prominent businessmen in Tanzania, of acts of grand corruption.

Membe stated the alleged act of the Canadian diplomat was the highest form of humiliation by a country propagating democracy, good governance and human rights.

In a survey commissioned by the Kenyan Division of Transparency International (July 2009) the Tanzanian police were ranked the second most corrupt institution in East Africa with a 62.2% corruption level. Justice is bought and paid for in Tanzania. Public prosecutors openly tout their services to defendants able to afford a ‘not guilty’ judgement on the day of trial and the penal code is mostly ignored and seldom understood by the police. The police, particularly in the lower ranks know or care nothing of the penal code or the required procedures for arrest. Human rights are brutally denied on a daily basis resulting in people in prison for years for crimes they did not commit or know nothing about.

No civilized person would deny that if true, the conduct of the Canadian diplomat is utterly reprehensible but let's get real!!
 
hatimaye yule afisa ubalozi wa Canada karudishwa kwao kwa kosa la kuidhalilisha Tanzania na wananchi wake, kwa kiasi fulani mi naona haki bado haijatendeka mana hii ni ukiukwaji wa haki za binadamu na alistahili aadhibiwe kimahakama.
 
Haitoshi alistahili kichapo cha raia wenye hasira!!Kwanini atuchezee ndani ya nchi yetu?
 
Naona serikali imeonelea wamrudishe ili wasije wakanyimwa misaada kwa siku za usoni...

Afisa ubalozi hana kinga yeyote ile anapokuwa anafanya criminal act ana anaweza kushtakiwa kama common crimal yeyote yule...

Atakuwa tu na kinga endapo yale aliyoyafanya, aliyafanya kwa niaba ya serikale yake iliyomtuma, na siamini kwamba Canada walimtuma aje kuwatemea mate Trafic au mwandishi wa habari...

Bahati yake tu yupo bongo ndo maana anapewa dhamana na hatimaye kurudishwa kwao.. Hebu Mbogo amteemee mate Mcanada... shughuli yake utaisikia... vipi kama mate hayo yalimwambukiza mtu maladhi... waathirika watafidiwa vipi... Inabidi ashakiwe na serikali ya Canada imlipie fidia kitu ambacho sidhani kama waCanada watakikubali maana watasema hawakumtuma kwenda kumtemea mtu mate...
 
He/she has to go back to her home immediately, thats where she belongs, with those shameful behaviors...Nadhani hata kwao atakuwa amejishushia sana heshima, na ajira yake huenda ikawa matatan i!...Poor him/her.
 
Mh ! hii kali mimi sikupata kuisikia. Ila kama alifanya hivyo bora arudi kwao akawatemee mate aone cha moto.

Hehehehehe! huyu nae
 
hatimaye yule afisa ubalozi wa Canada karudishwa kwao kwa kosa la kuidhalilisha Tanzania na wananchi wake, kwa kiasi fulani mi naona haki bado haijatendeka mana hii ni ukiukwaji wa haki za binadamu na alistahili aadhibiwe kimahakama.

Jamaa alikuwa anajiona cobra..
Apeleke u cobra wake hukohuko kwao.
 
hatimaye yule afisa ubalozi wa Canada karudishwa kwao kwa kosa la kuidhalilisha Tanzania na wananchi wake, kwa kiasi fulani mi naona haki bado haijatendeka mana hii ni ukiukwaji wa haki za binadamu na alistahili aadhibiwe kimahakama.

Kilichofanyika hapa ni balozi wake amekataa kumuondolea kinga yake ya kidiplomasia na hivyo isingeezekana kushtakiwa kwa sheria za Tanzania.

Sasa kwa kukataa kumvua hadhi ya kibalozi basi anarudishwa nchini kwao na kisha atashitakiwa kwa mujibu wa sheria za Canada.Nina imani kubwa haki itatendeka na Trafiki na Mwandishi wa habari wahanga watalipwa fidia na nchi ya canada kupitia balozi wao wataiomba radhi Tanzania baada ya huyu mtu kuhukumiwa.

Tuwe na Subra tu waTZ tuiache sheria ichukue mkondo wake.
 
Jamani mii naomba foreign affair ya canada watupe status zake za hiv. Ili tujipange kwa kesi ya madai ya kuathiri kisaikolojia. Pia watz tunaomba muziwinde data za safari yake ni lini na saa ngapi ili tukamuage eirport kwa kumtemea mate hata kama hatutamfikia tuteme chini mwenyewe akiona
 
Chini ya JK nilitegemea hili maana ana historia ya kumwachia mwingine mwarabu aliyembaka mwanamke na akasema alipwe dola 500 na akarudishwa so sikutegemea kitu serious sana . I know JK sana tu
 
noma bora karudishwa!!!tungemfunga tungepata faida gani!
 
Naona serikali imeonelea wamrudishe ili wasije wakanyimwa misaada kwa siku za usoni...

Afisa ubalozi hana kinga yeyote ile anapokuwa anafanya criminal act ana anaweza kushtakiwa kama common crimal yeyote yule...

Atakuwa tu na kinga endapo yale aliyoyafanya, aliyafanya kwa niaba ya serikale yake iliyomtuma, na siamini kwamba Canada walimtuma aje kuwatemea mate Trafic au mwandishi wa habari...

Bahati yake tu yupo bongo ndo maana anapewa dhamana na hatimaye kurudishwa kwao.. Hebu Mbogo amteemee mate Mcanada... shughuli yake utaisikia... vipi kama mate hayo yalimwambukiza mtu maladhi... waathirika watafidiwa vipi... Inabidi ashakiwe na serikali ya Canada imlipie fidia kitu ambacho sidhani kama waCanada watakikubali maana watasema hawakumtuma kwenda kumtemea mtu mate...
 
Jinsi alivyomtemea mate trafiki nimeona amedhalilisha mpaka sheria inayounda jeshi la polisi kitengo cha trafiki hivyo bunge lingetoa tamko lake pia. Kuhusu mwandishi wa habari naona MISA TAN, MOAT, MCT wamekaa kimya kulaani kwani wanajua wakifanya hivyo misaada na bahasha za alawansi zitayeyuka ghafla.

Nilikataa kuudhalilisha utu na ufahamu wangu mbele ya mzungu, na nikalipwa kutimuliwa job ila nikaweka msimamo mpaka sasa ameweka adabu mahala pake na anafuata sheria za nchi. Bora nife masikini kuliko kudhalilishwa na kupuuzwa.

Nashauri Mwandishi wa habari akafungue kesi ktk mahaka ya kimataifa ya makod=sa dhidi ya binadamu kwa kutemewa mate....... nina hasira naye kichizi.
 
Du! Mengi kaingiaje humo!?

..beats me!

Its not an allegation anymore, unless mtu hakuona TBC jinsi mate yalivomjaa huyo Jerry Muro kwenye t shirt yake, na jinsi huyo 'diplomat' alivyokuwa anasema hovyo polisi
 
mbona wewe unakopi michango ya watu wengine??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…