wa watu Member Joined Aug 14, 2013 Posts 81 Reaction score 11 Sep 6, 2013 #1 jamani wana jf wenzangu naomba mnijuze zaidi eti mwaka huu tcu wamechukua hata wale wasio na credit pass yaani (C3) za o~level hasa waliosoma nje ya nchi na kupewa udahili wa kozi mbalimbali hapa nchini,..natanguliza heshima kubwa kunako hili!!
jamani wana jf wenzangu naomba mnijuze zaidi eti mwaka huu tcu wamechukua hata wale wasio na credit pass yaani (C3) za o~level hasa waliosoma nje ya nchi na kupewa udahili wa kozi mbalimbali hapa nchini,..natanguliza heshima kubwa kunako hili!!