mi niliambiwa nitoe laki 2, 50 ya passport na 150k nikaambiwa ya mtandao ili passport ipatikane. Tena usiwaambie unaihitaji mno na kwa haraka, dau linaongezeka.sasa fikiri kwa mtu anaye forge, uhitaji ukoje. Hapo ndio wataona bonge ya dili hata raia wa kilatini atasomeka kama mnyiramba wa kinampanda kwenye document zao.
Kupata passport ni biashara ya watu hiyo ndo maana wengine tungependa mabadiliko... jamani nchi yetu hatuna haya ya kung'ang'ania fito mwisho tukwamishe ujenzi wa taifa bora Kuna watu wanatakiwa kukaa pembeni wajifunze kusimamia Mambo ya mhimu kwa taifa kama hili la passport