ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 1,974
- 2,920
Mtanzania anatisha alikwisha gundua janja ya nyani kula mahindi mabichi.Safi kabisa. Tumechoka kuwa wakarimu kwa watu wasiokuwa na shukrani.
Which East African?U remember how the East African twisted the exercise when conducted by Uhamiaji in Tanzania?
uhahahaha baada ya kuona kisu shingoni with unemployment rate of 40% ππππSafi kabisa. Tumechoka kuwa wakarimu kwa watu wasiokuwa na shukrani.
ndio tunasubiri kuona wasiporudishwa ujue sio watanzania bali hua munaficha aibu zenu kwa wazunguππππgood job....omba omba wa Danganyika warudishwe makwao mara moja...
Kidogo niseme waje wajibu lakini baada ya kusikiliza... nikuulize, ina tatizo gani? Mbona karipoti kama ilivyo? Au ulitakaje labdaThis was the coverage by Kenya media when similar exercise was conducted in Tanzania in 2016.
Atamayeumia ni nyie mmejaa mahotelia Arusha na kila mahali mwagen mboga tumwage ugaligood job....omba omba wa Danganyika warudishwe makwao mara moja...