Forensic science

Forensic science

dhk1

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
937
Reaction score
556
Heshima kwa wrote,
Mimi nimesomea forensic science bt toka nirudi nchini imekuwa ngumu sana kupata ajira ina maana tz bado tuko nyuma sana kwenye mambo ya investigation?
 
Kila fani huwa inakuwa na malengo yake ambayo yanamuongoza mwanafunzi kufanya maamuzi hivyo wakati unachukua hiyo fani hali ilikuaje labda maana umeuliza kwa kushangaa kwamba tz tupo nyuma kwenye mambo ya investigation (ina maana wakati unasoma hukuliona hilo?)

Ila kikubwa usikate tamaa kwani elimu uliyonayo ni msingi tosha kwa maisha yako hata kama hutoajiriwa
 
Naweza kujiajiri Ila kila napotafuta ushauri wananiogopesha zaidi imebidi nianze shughuli nyingine bt naona km sitaweza kutumia kitu nilochosomea
 
fanya master ya kitu kingine...but hata hio ni nzur sema nchi yetu bado kabisaa
 
heshima kwa wrote,
mimi nimesomea forensic science bt toka nirudi nchini imekuwa ngumu sana kupata ajira ina maana tz bado tuko nyuma sana kwenye mambo ya investigation?

unayo gpa ya ngapi?
 
Nimekupata mkuu ndo najaribu
 
Back
Top Bottom