Heshima kwa wrote,
Mimi nimesomea forensic science bt toka nirudi nchini imekuwa ngumu sana kupata ajira ina maana tz bado tuko nyuma sana kwenye mambo ya investigation?
Kila fani huwa inakuwa na malengo yake ambayo yanamuongoza mwanafunzi kufanya maamuzi hivyo wakati unachukua hiyo fani hali ilikuaje labda maana umeuliza kwa kushangaa kwamba tz tupo nyuma kwenye mambo ya investigation (ina maana wakati unasoma hukuliona hilo?)
Ila kikubwa usikate tamaa kwani elimu uliyonayo ni msingi tosha kwa maisha yako hata kama hutoajiriwa
heshima kwa wrote,
mimi nimesomea forensic science bt toka nirudi nchini imekuwa ngumu sana kupata ajira ina maana tz bado tuko nyuma sana kwenye mambo ya investigation?