Leo ktk shule hii wanafunzi wamepiga mawe walimu na kuvunja vioo vya shule nzima,ililazimu polisi wa kutuliza ghasia kufika eneo hilo na kutuliza hali ya hewa.
Chanzo cha habari rasmi kinadai wanafunzi hao wamekuwa wanajibiwa ovyo na walimu sambamba na mkuu wa shule, ikumbukwe kuwa shule hii ndo ilifikwa na Pccb kwa madai ya kutoza watoto fedha za uchelewaji.hapa jamani vipi?