Forex haiwezi kukutoa kimaisha, ni bora ubeti au ukalime

Yaani ujinga wako unamuangushia jumba bovu demu wako, no wonder kakupiga chini kaona huna akili!
Mkuu nashukuru
Mkuu sina matumaini tena na hii biashara, nimeamua ni focus kwenye kazi yangu, by the way nashukuru sana kwa ushauri wako, hapa Tanzania kuna watu wanafanya forex kama full time job na wamefanikiwa?
 
Noma sana braza watabe tunaelewa hizo situation. Kuchoma akaunti ni jambo la kawaida ..ila Mimi ningekuwa na hiyo usd 3000 aise ningefika mbali sana. Komaa mwamba life ni zaid ya fx..

By the way niunganishe na ex wako nina maongezi naye kimtindo.
 
Mkuu nashukuru

Mkuu sina matumaini tena na hii biashara, nimeamua ni focus kwenye kazi yangu, by the way nashukuru sana kwa ushauri wako, hapa Tanzania kuna watu wanafanya forex kama full time job na wamefanikiwa?
Nadhan nao wangekuwa mabilionea kama mo
 
Mkuu nashukuru

Mkuu sina matumaini tena na hii biashara, nimeamua ni focus kwenye kazi yangu, by the way nashukuru sana kwa ushauri wako, hapa Tanzania kuna watu wanafanya forex kama full time job na wamefanikiwa?
Kwa tz sijui maana hata hivyo biashara yenyewe hii ndo inaingia wengi hawaielewi sijafatilia mi bado najifunza tu sitaki kujua ya fulani..πŸ˜…
 
Nilichojifunza kwenye forex,

Kwanza elimu, kisha mtaji wa uhakika!

Watz wengi sana wanaojihusisha ma forex wanaijua ila wanakwamishwa na mitaji midogo.
Wengi wa watz mitaji yao ni dola 100 ikizidi sana 300.

Huu ni mataji ndio ila unaweza usidumu kwenye soko mpaka kwanza uumie karibu kwa miaka 2 au zaidi kwa displine ya hali ya juu sana.

Mtu mwenye mtaji wa dola elfu 10 kwa mfano akifuata money management anaweza kuishi maisha mazuri sana bila kutegemea kazi nyingine yeyote
 
Nipe number ya ur gf niongeee nae kitu bro [emoji4]
 
Anaeuza Signal kwa nini asizitumie mwenyewe apige hela zaidi? Hili swali wengi huwa hawapendi kujiuliza.
Trading kama trading inatakiwa ujifunze kwanza kabla ya kuingia kichwa kichwa...Binafsi nafanya Crypto trading sababu ili nitrade sihitaji broker katikati yangu na soko. Nanunua coins naingia kwenye exchange natrade, PERIOD.
Bongo forex na crypto imejaa wababaishaji na matapeli wengi sanaa sababu vijana wengi wanapenda Get rich Quick Schemes
 
Huyu aliyeandika uzi fala kweli yaani dolari 3500 unaunguza akaunti? Tatizo ni tamaa na hofu, mtu anachukua $1000(2.3M) ananunua pikipiki Boxer anampa dereva amletee sh 7000 kwa siku (3$) yaan kwa wiki 50k(23$) na hapo oil anamwaga mwenyewe yaan ukinunua pkpk kwa $1000 kwa wiki unapata 42k ukimwaga oil hapo hujarekebsha sjui indicator sjui side mirror na nn!( Mtaani wanakuona umefanya bonge la investment) wkt huo pkpk inaweza kuibwa au ikapata total breakdown! Lakini cha ajabu mtu mwingine anataka adeposit $ 1000 kila siku apate $200 [emoji23][emoji23] forex n taaluma vijana punguzeni punyeto na tamaa
 


Trading Forex can be like Gambling

An Emotional roller coaster

But the best Poker players study the game all the time, look for patterns, manage risk and practice with others

It's the same with trading

Don't count on luck, use your knowledge
 
He he he $30 unapata $500 halafu unaamua tu kuacha! Ama kweli Forex is not for everyone!
Cc Dinazarde
Forex ili mvumiliane nayo lazima uwe na mpango wa mda mrefu, key Risk Management ya hali ya juu ( hapa ndio wana fail wengi ), nidhamu ya hali ya juuu sana.. wengi hupatia TA na hata SA ila kwasababu hawana uvumilivu na nidhamu broker huwakusanya kama sekiloja chambua.. wengi wana trade kuendesha maisha yao ya kila siku na ndipo wanapo kutana na mkono wa chuma πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Paka sasa nina trade na sio trade kila siku ni bora nikae wiki mbili au mwezi bila ku place order ila niliweka order broker ananipea
 
Hehehe umenikumbusha kipindi hicho mtifuano humu
Halaf wanakuambia forex is not for everyone na kweli
Forex ni kwa wenye pesa, wasio na pesa ni kuotea na kama like bet.. kuna rafiki yangu alikuwa na nyota ya FX mwaka wake wa kwanza na wa pili alitengeneza zaidi ya 100 million , ila sasa hivi hata dollar mia hana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
$ 3500 ndogo unachoma tu kama RM yako tia maji tia maji
 
Nakukatalia, huna proper skills. Forex doesnt need you a single day, week or month to trade it successfully. Those who look it to trade with proper skills are happy, it takes you 1 to 3 years to be a good trader. Your psychology will choose wheather you are able or unable to be a big boy.
 
Wanaume wanaotarajia kuitwa baba...

Wenye mabinti zenu salini sana, ombeni sana....husbands ndo hawa apa.
 
Watu wapumbavu sana. Mtu ana duka la mtaji wa milioni 10 na anapata faida ya siku shilingi elfu 40 mpaka 50 na anaridhika. Kesho anafungua tena duka.

Nakupa mfano, mtu ana duka la jumla. Anauza maji carton 1 anainunua kwa sh 3,300 na kuuza sh 3,500 faida 200 tu. Auze sembe, ngano, mafuta faida ni ndogo ndogo sana. Lakini wananunua mizigo ya millions na wanauza daily kwa kuunga unga hizo hizo 200, mia mbili.


Umewekeza forex $1000, ukipata $20 kwa siku ridhika. Unataka upate kiasi gani? Mbona hiyo ni pesa nyingi tu? Kesho tena fanya hivyo hivyo. Mwisho wa week umeingiza $ 100 au $200 withdraw weka akiba. Yaani umeweka $ 1,000 unataka upate $ 100 daily? Soko hilo la babako?

Mtoa mada ni mpumbavu. Na unelaendeshwa na emotions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…