nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Naweza sema sijachelewa sana kuyajua haya machache yakiyomo kichwani mwangu kuhusu forex. Najua vizazi na vizazi watakuja kufaidika na hiki kidogo.
Kadri ninavyozidi kuifanya hii biashara ya forex, ndo nazidi kugundua na kuvumbua mbinu mpya kila wakati. Kwa upande wangu, forex naiona kama game gumu sana ambalo linahitaji muda mwingi wa kulielewa na kulifanyia mazoezi ili kwenda hatua inayofuata.
Kuna mbinu moja ambayo sio ngeni na imezoeleka kwa wafanyaji wazoefu wa hii biashara. Mbinu hiyo ni indicators. Indicators kwenye forex, nazifananisha na cheat kwenye game. Ipo hivi, japo unatumia cheat kwenye game, bado utahitaji kulicheza game wewe.
Kuna indicators nyingi sana. Ila nilizozipata hivi juzi, zimeleta mapinduzi makubwa sana kwenye biashara zangu. Nimejikuta sipati hasara kama ilivyokua mwanzo.
Nilipata shida sana kuzipata hizi indicators. Na nimetumia gharama pia.
Kwa wale wanaohitaji hizi indicators, nawakaribisha ila mtanirudishia japo nusu ya gharama zangu.
Ili uweze kutumia hizi indicators, lazima uwe na pc. Hazifanyi kwenye simu.
Kama utakua unazihitaji, basi njoo pm nitakuelekeza namna ya kuzipata na gharama zake. Na nitakuelekeza namna ya kuzitumia.
Karibuni sana tuendelee kujipigia pips.
Kwa wale wanaojua kuhusu mimi kupoteza$300 tangu niijue forex, Mrejesho ni kwamba.
Hivi sasa nina faida ya $130. News ya EUR imemalizia hasara yangu na kunipa faida.
Karibuni sana