Forex indicators

Kumbe kuna indicator nyingine za kununua. Mimi nilijuaga kuwa ni hizi za mt4 zinatosha....
Zipo nyingi tu mkuu. Zipo zinazolupa signal kabisa. Kazi yako ni kuingia kwenye trade tu na kusubiri
 
Endelea kufafanua zaidi ili tukuelewe,
Hizo indicators ni vitu gani??
Forex iko daily, so na indicators utatoa daily?
Indicators zilizofanya ukala hiyo $130 bado zina-exist? au zisha exit?
Unless sijaelewa indicators ni nini
Indicators sio signal. Signal ndo inahitajika kutolewa kila siku. Ila indicators ni msaada wa mtoa signal. Yaani mtoa signal hutumia indicators kuthibitisha alichokifanyia analysis. Ukiwa na hizi indicators, hutahitaji signal kutoka Kwa mtu. Utafanya trade kwa Uhuru. Kikubwa ni wewe kujua jinsi ya kuzitumia
 
WEWE JAMAAA UNA UJINGA KICHWANI BADO.NANI KAKWAMBIA HIZO INDICATOR HAZIPATIKANI KWENYE SIMU? NA NANI ANAE TRADE FX HAJUI KUWA MT4 INATOA INDICATOR ZOOOOTE?

KAMA UNGESEMA UNATAKA UJUE JINSI YA KUTUMIA INDICATORS UELEKEZWE NINGEKUELEKEZA,lakini KWA JINSI ULIVYO ANDIKA,HAKIKA BADO UNA SAFAR NDEFU IN FX,KAMA HAUTABADILIKA....

Indicators zoote zinatofautiana accuracy&efficiency ktk mkt predctn....and there is no guarantee that any indicator provide 100% suits in market all the times despite of fundamental news...
NB:SOME OF INDICATORS....

-Moving averages(EMA,SMA,WMA)
-Bollinger band(BB)
-Parabolic sar
-RSI
-Schochastic
-ETC.....


-ELEZA UNACHOJUWA,UTASAIDIWA ULIPOISHIA(tabia unayoianza ACHAAAAAA)
 
Mkiaambiwa forex ni ujanja ujanja tuuh mnakataa sasa wewe izo indicator si uendelee zitumia upige zako ela kimya kimya unataka zi uza upate ela alafu mnunuaji nae atumia apate ela
Kwanini usizitoe buree
Trump akoseagi
 
Mkiaambiwa forex ni ujanja ujanja tuuh mnakataa sasa wewe izo indicator si uendelee zitumia upige zako ela kimya kimya unataka zi uza upate ela alafu mnunuaji nae atumia apate ela
Kwanini usizitoe buree
Trump akoseagi
Hakuna aliyelazimishwa mkuu kununua indicators. Ukiona unapiga hela, sasa indicators za nini?

Kwa upande wangu zimekua na msaada sana. Yaani kila movement ya chart ni hela. Niko na indicator inayoonyesha real resistance and support. Basi mambo ni moto.

Pia lazima ujue kuwa nilizipata kwa kununua. Siku zote cha kununua mwenyewe unakithamini.

Kwenye kumake hela hakuna vya bure ndio maana hata signals zinauzwa
 
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!

Minimum deposit ni $1=Tsh2,240 tu
 

Sio zote unapata kweny mt4 Bro...kuna zingine zinauzwa then u install in the indicators folder
 
Sio zote unapata kweny mt4 Bro...kuna zingine zinauzwa then u install in the indicators folder
Sawa ila hamna indicator guarantee ya profit 100% .sasa ya nn yote hayo ikiwa their source n PRICE ACTIONS?....
Nashaurigi watu wasome na waelewe PRICE ACTION STRATEGY ndio jibu pekee la uhakika.

AHSANTE KWA UELEWA
 
Sawa ila hamna indicator guarantee ya profit 100% .sasa ya nn yote hayo ikiwa their source n PRICE ACTIONS?....
Nashaurigi watu wasome na waelewe PRICE ACTION STRATEGY ndio jibu pekee la uhakika.

AHSANTE KWA UELEWA

Yes Kaka..kusoma muhim sana..all the secrets are in the books..ila kuna some good indicators zinakupa market sentiment na important alerts kama hidden divergence alerts or volatility bands squeeze..ukichanganya na price action knowledge unakua in a very good postion to enter a trade
 
We aim to help people not to steal their money, Education is supposed to be cheap thats why we work hard to make sure everyone get knowledge with tiny amount,
Join our team with only $24! (tsh 55000)

FORGET ABOUT EMPLOYMENT!
-
LEARN FOREX, BECOME FROFITABLE TRADER under the [HASHTAG]#FXDI[/HASHTAG]

Contact:
+255762272838
Forexdeluxeinstitute@gmail.com
 
unaziuza sh.ngapi?
 
SASA MKUU WW TAYARI UMEMASTER HIYO FOREX WHICH MEANS UNAPIGA MAHERAA, BADO TU UNATAKA TENA KUTOKA KWA WANAFUNZI ZINGINE... SI UTOE TU BURE KAMA NI KWELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…