Forex ni Aviator Game kwa 100%

Embu ingia google utuletee maana ya trade.
i see where your going however just to clear things up, when you TRADE as u call it on financial markets in real you arent trading but your BETTING, now lets get to google

lets start there, now to your question!

so far now you have your answer, i hope you understand byuro de change dont deal with market trends but only quaniy they can sell
 
Kwa screenshot ulizoleta bureau de change hawafanyi trading?
 
Mzee acha kudanganya kama ingekuwa ivo watu wote kwenye fx wangekuwa matajir forex inaitaj knowledge sio utumbo ulioyo andika hapa jitathimin
 
Ww jamaa hujawahi elewa maana ya trading au trade.
si nmekutumia reference ya dictionary ama hujaona, na pia usitegemee unachofanya mt4 nkakiita trading, i might say tradng because thats what your used with but sio trading ile
 
si nmekutumia reference ya dictionary ama hujaona, na pia usitegemee unachofanya mt4 nkakiita trading, i might say tradng because thats what your used with but sio trading ile
Tatizo hujawahi kuelewa maana ya trading au trade,

Sasa unataka wewe uwe na maana yako kuhusu trading jambo ambalo umeshachelewa.
 
Tatizo hujawahi kuelewa maana ya trading au trade,

Sasa unataka wewe uwe na maana yako kuhusu trading jambo ambalo umeshachelewa.
Mzee mbna unataka mada iwe ndefu, nmeshakuonyesha apo dictionary nn maana ya trading, au tufupishe, trading kwa lugha nyepesi kabisa BUYING AND SELLING, una maaana ingine tafauti na hio?

byuro hawafanyi trading wanafanya EXCHANGE sjui kama unaelewa nachoongea umekazania maaana ya trading
 
Daah ww jamaa, kwahiyo bureau de change hawa BUY NA KU SELL CURRENCY?
 
Daah ww jamaa, kwahiyo bureau de change hawa BUY NA KU SELL CURRENCY?
hapana they exchange, kufanya exchange ni tafauti na trading, exchange ni kama nakupa kitu tafauti kwa kukubaliana kwamba zina usawa, trading ni uuzaji na ununuaji, unaweza kununua simu mil 10, ofcourse hakuna ulingano kwa sababu ndan ya mil 10 kuna faida , kodi na balbla kibao
 
Daah ww jamaa, kwahiyo bureau de change hawa BUY NA KU SELL CURRENCY?
soma hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…