forex trade

Change_it

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
279
Reaction score
84
kwa wale ambao wako interested na forex trade pitia hiyo link hapo chini.
Forex Forum | Forex Trading Forums | MT5 Forum

hiyo ni link ya forum utakutana na forex traders wengi wakidiscuss forex trading strategies,market trends na mengineyo,kwa wale beginners unaweza ukapitia ukapata maujanja.
 
Asante sana Change-it, huwa nafikiria sana hii business ila sijawahi pata details zaidi, si ndo hii ya ma-bureau de change au?
 
Asante sana Change-it, huwa nafikiria sana hii business ila sijawahi pata details zaidi, si ndo hii ya ma-bureau de change au?
no, hii forex trade we jaribu kuangalia kwenye hiyo link utaelewa tu haya mambo.
 
If u want to be succesfull trade futures ambapo ni oil,wheat,sugar ndo inatoa wengi kuliko currency trading,ingia forex.com download meta 4 anza kufanya practise kutumia hiyo system for demo account b4 hujaanza real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…