Moneytrolly
Senior Member
- Sep 17, 2016
- 128
- 76
Good news is , u don't have to a genius to make cash or to be a good trader in foreign exchange market ( forex) ...Jamaa wanatia hamasa , kina ref Wayne , ila nashindwa kumwelewa ref Wayne ni programmer au vepe , ukisearch pipcoin ( utaona wanasema yeye ndo alidevelop coding , so the guy has to be good in coding as well
Hii safi sana mkuu,dah hela ndefu iyo inatengenezwa,just imagine $500 in 2 days so amazing!!That's very clever bro!!
Sasa ukitumia platform kama meta trader 4 kwa mtaji wako Wa tsh 50,000 unaeza tengeneza hela zaidi $500 within 2 days.
Currently Mimi pia bado najifunza kuitumia hii platform kutrade si natrade through a trial account/ demo account. Kuna mda natengeza hadi $800 natamani ingekua real account ningezidraw chap!! SAA nyingne hasara kichizi!!
Well its all part of learning
Acha tu kaka!! Mungu azidi kutubariki tuweza kudevelop strategy ambayo italeta consistent profits let's say 80 profit and maybe 20 % loss kwenye 20 trades ambazo utazifanya ndani ya mwezi mzima. Kila trade faida au hasara between 200 na 400 $ .Hii safi sana mkuu,dah hela ndefu iyo inatengenezwa,just imagine $500 in 2 days so amazing!!
Haina shida kabisa , si kuna master card / visa cards ..Hii platform ya MT4 ni tamu sana lakini kwenye bank zetu hapa bongo kufanya online transaction sijui kama ziko poa sana.
Acha tu kaka!! Mungu azidi kutubariki tuweza kudevelop strategy ambayo italeta consistent profits let's say 80 profit and maybe 20 % loss kwenye 20 trades ambazo utazifanya ndani ya mwezi mzima. Kila trade faida au hasara between 200 na 400 $ .
Ukichukua average profit au loss per trade $300 mapato kwa mwezi ni $6000 ( because u made 20 trades katika huo mwezi mzima) - minus 20 % loss faida equals to $4800 per month!!
Duuhhh!! Naacha kazi kwa muhindi aise[/QUO
Geuza hiyo $4800 kwenye madafu shubaamit!!
Asante mkuu lakini kwa sasa crdb situmii,kwa sasa nina equity ambayo ni master card, ila hizi online trading nazo vipi kwenye usalama mkuu!?Haina shida kabisa , si kuna master card / visa cards ..
Nenda Crdb , exim n.k
International bro!!
A lot of Money,10mill tz shilling, khaaaa!Geuza hiyo $ 4800 kuja kwenye madafu !!
Hehehehe
Ili kuongeza usalama fungua account PayPal.com , google kuhusu PayPal utapata info zoteAsante mkuu lakini kwa sasa crdb situmii,kwa sasa nina equity ambayo ni master card, ila hizi online trading nazo vipi kwenye usalama mkuu!?
Ebana binary options sjawahi fatilia ingawa najua tools unazotumia kutrade binary ni kama za forex , ingawa binary wao nimeona wana platform yao tofautiMkuu nimekua nikisikia forex trading na binary option ivi tofauti yao ni nini apo briefly
Mkuu hauna group wasap au telegram la maforex traders uniunge namm, tuwe tunashare maujanjaEbana binary options sjawahi fatilia ingawa najua tools unazotumia kutrade binary ni kama za forex , ingawa binary wao nimeona wana platform yao tofauti
Shukrani mkuuIli kuongeza usalama fungua account PayPal.com , google kuhusu PayPal utapata info zote