Forex trading short course

Jamaa wanatia hamasa , kina ref Wayne , ila nashindwa kumwelewa ref Wayne ni programmer au vepe , ukisearch pipcoin ( utaona wanasema yeye ndo alidevelop coding , so the guy has to be good in coding as well
Wanatia hamasa sana mkuu.Mimi sijajua kama ni programmer ngoja tusubiri wataalamu waje kutupatia darasa.
 
Mkuu kwa nchi yetu hivi vitu vina work?
 
Ok, je hiyo training iliyofanyika mwaka jana mwaka huu haipo??

Je kwa wale ambao mmeshaanza, mna mpango gani kuwasaidia wanaotaka kuingia..?
 
Ebana binary options sjawahi fatilia ingawa najua tools unazotumia kutrade binary ni kama za forex , ingawa binary wao nimeona wana platform yao tofauti
Sawa mkuu nimekupata
Hii safi sana mkuu,dah hela ndefu iyo inatengenezwa,just imagine $500 in 2 days so amazing!!

Good news is , u don't have to a genius to make cash or to be a good trader in foreign exchange market ( forex) ...

Naona huyu hajatumia platform amefanya manually katumia Bureau da change tu, hivi benki gani inatoa huduma za online transfers kwa usalama na bei nafuu mkuu?
 
Sawa mkuu nimekupata

Aise nimefatilia ile Binary options , kutrade inataka utulie kidogo. Ila iko zaidi kama kamari kabisa tofauti na forex trading .

Kuna baadhi ya nchi wamepiga Chini kutrade binary manake itikadi kama vile watu wanaliwa . anyways , kuna watu pia wanapiga faida balaah . cha msingi , to learn the market as much as possible and be good at trading . that's all traders

Anything is possible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…