Forex Trading Tanzania: Yafahamu haya kabla ya kujiingiza kwenye hii Biashara

Wengi tupo humu tunasaidiana! sioni kibaya kushare jambo lakimaendeleo humu labda wewe mwenzangu ndio unashida pahala na maswala ya fx!! Ni vyema kupassout kama point hizi haziku interest.
Naomba nikukumbushe FX ndai ya JF wadau washaikataa

Kama mnajuana nyie mnaosadiana mjadili huko inbox na social media zingine .

Hapa utaoneka tapeli tu huna maana

Halafu hii kitu haihitaji attention fanyeni huko kimya kimya itawasaidia pia

Hapa mnajidhalilisha tu wadau washaikataa
 
wewe pita kushoto una piga kelele tu
 
Ukiitiwa fulsa ujue ww ndo fulsa,

Hongera sana kwa kuwa expert wa trading maana si kazi ndogo
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
😀😁😂😄😅😃🤣🤣
 
Nimekua nikifuatilia FIBSDONTLIE, na kuipitia kozi yake, nimependa strategy yake, kwa yeyote anayeitumia hyo kitu au ambaye angependa kuitumia tuchekiane tupeane ABC`S na hints za kujiweka sawa
msuli yatima hauna moto
 
Nimekua nikifuatilia FIBSDONTLIE, na kuipitia kozi yake, nimependa strategy yake, kwa yeyote anayeitumia hyo kitu au ambaye angependa kuitumia tuchekiane tupeane ABC`S na hints za kujiweka sawa
msuli yatima hauna moto
ipoje hyo
 
Forex trading inahitaji kusoma sana! Wabongo kusoma hamtaki lazima muichukie Forex!
 
Hoja imekuwa Kuntu. Japokuwa hujatuelimisha kuhusu leverage katika kuweka mizania kati ya faida na hasara. Maana makampuni huweka default leverage na watu wengi hupita nayo tu.
 
Habari

Ni muda sahihi wa mimi kujifunza Online Forex trading naomba muongozo nahitaji kujifunza Mimi mwenyewe geto, nipeni tips nawezaje kuanza mpaka kuiva pia mnitajie vitabu vizuri for beginner.

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Mr. Ontario naona umekuja kivingine,
 
1/Risk management

2/Risk reward ratio

3/Stop loss

4/Trailling stop loss

5/Entry price

6/Emotional/Patience

Bila kusahau ku trade pesa ambayo upo tiyari kupoteza.


Naona hao ndio wachawi wakubwa wa hii biashara
hiyo ya mwisho ni kama betting sasa?
 
NAHITAJI HII ELIMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…