Forex vs Betting.

Je forex ni sawa na betting?

  • Total voters
    26
  • Poll closed .
Forex ni betting, sababu kunakuwa na outcome zaidi ya moja.

Tofauti na sports betting,
  • forex option zake ni 2 tu (Buy, Sell)
  • Forex unaweza kuamua kiasi cha kupoteza, betting ukiweka Jero ikipotea ujue imeenda yote.
  • Forex ipo saa 24/5 ama 24/7 kwa wanaotumia Deriv
 
Nashangaa sana waungwana wanaosema forex trading sio betting
 
Na kaanzisha group lake huko Whatsapp naona atakamata sana vichwa panzi

This guy he is a scammer(From TMT to now)
Huyu jamaa nasikilizaga tweet zake aisee ana akili za kitoto sana. Mpaka najiuliza waliopigwa waliingizwaje kingi ? Any way ukizoea dhuluma hautoboi maana akili inaganda. Ukipata hela unawaza kufumbua tu.
 
Huyu jamaa ni scammer ambaye anakuja kwa njia ya motivation ili awatapeli watu. Mtu ambaye anakuja kusanuka ataelewa plan zote za huyu jamaa mwisho wa siku nj utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…