Form 4 lavuja maswali haya hapa ya kesho

Form 4 lavuja maswali haya hapa ya kesho

unatakiwa urudi kwa wazazi ukalelewe upya, maana huo ni utoto
 
che che che kodi ya nyumba hulipi...maji umekatiwa operesheni kata umeme inakuja!

Nimekumbuka story moja ya jamaa alikuwa anaoga mtoni, kichaa akaja pale mtoni akachukua nguo zake akakimbia nazo, jamaa aliyekuwa anaoga mtoni akaanza kumkimbiza yule kichaa, pata picha wewe ungeelewa kichaa ni yupi?
 
Tulia dogo mitihani yenyewe mnayotungiwa yaki katakata maana sio mitihani yetu ya kipindi kile lakn mbali na hapo bado mnaandika ***** tuu
 
I think if you join facebook then you will be an expert,
 
Jamani mnatuchafulia jukwaa mimi nafikiri wanaoingia huku ni watu wenye busara na maono sasa sijui vichaa wanatokea wapi? Nafikiri wanajanvi hawa wafunguliwe Milembe forum.
 
busara hainunuliwi,rafiki fikiri kabla ya kunena na jamii,kuwa mfundishaji mzuri kwa watanzania.
 
Back
Top Bottom