Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

swala la kusema IT ni kutoka moyoni kwanza kama unapenda kutoka moyoni aahh kwako inakuwa rahisi kwako
 
Wadau naombeni ushauri, nimemaliza form 4 mwaka huu 2024 nimepata CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'D' LIT ENG - 'X' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'F' na ndoto yangu kubwa ni IT au computer science, hivi naweza nikafikia ndoto zangu za kwenda chuo kusomea ivo vitu au ndo basi niende afya tu, msaada jaman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ