S Sheko JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 280 Reaction score 26 Jun 9, 2013 #1 Wakuu sijui form 4 ya miaka mitatu mbele sijui itakuwaje maana nikiwaangalia wanafunzi wenyewe sipati picha.labda baraza ipunguze ukali wa mitihani kama pepa zitaendelea kukazwa qualification za advance zitakuwa d tatu.hiyo ndo hali halisi
Wakuu sijui form 4 ya miaka mitatu mbele sijui itakuwaje maana nikiwaangalia wanafunzi wenyewe sipati picha.labda baraza ipunguze ukali wa mitihani kama pepa zitaendelea kukazwa qualification za advance zitakuwa d tatu.hiyo ndo hali halisi
G Gabriel Chishako Member Joined Jun 9, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jun 9, 2013 #2 Aiseh utata kweli kweli kwa miaka ijayo
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Jun 9, 2013 #3 Hamna kupunguza ukali wa mitihani wala nini. Unadhani kupunguza ukali wa mitihani ndo kujenga?
S Sheko JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 280 Reaction score 26 Jun 9, 2013 Thread starter #4 saudari said: Hamna kupunguza ukali wa mitihani wala nini. Unadhani kupunguza ukali wa mitihani ndo kujenga? Click to expand... basi tungojee d 3 advance
saudari said: Hamna kupunguza ukali wa mitihani wala nini. Unadhani kupunguza ukali wa mitihani ndo kujenga? Click to expand... basi tungojee d 3 advance
Vanpopeye JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 620 Reaction score 59 Jun 9, 2013 #5 me nahama bongo
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Jun 9, 2013 #6 Sheko said: basi tungojee d 3 advance Click to expand... Heri nusu shari kuliko shari kamili.
S Sheko JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 280 Reaction score 26 Jun 9, 2013 Thread starter #7 saudari said: Heri nusu shari kuliko shari kamili. Click to expand... sawa mkuu
M musamtuya New Member Joined Feb 9, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Jun 14, 2013 #8 Oya mbona cjakuelewa d 3 kivip?