Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,448
- 1,790
Nahisi waliomaliza 2015, Walifanya mtihani mwezi wa tanoKwani huwa wanafanya may?
Tangu lini?
Niko nyuma ya wakati
Sio kawaida kufanya mitihani mwezi May, ilibadilishwa tu miaka ya juzijuzi, sie tuliikuta hio februari na ilikuepo miaka mingi nyumaHabari zenu wanajukwaa
Kunahabari zimeenea hivi karibuni kuwa kianzia 2019 form 6 watafanya mitihani yao mwezi wa pili(February) badala ya kufanya mwezi wa 5(May) kama ilivyozoweleka....
Naomba tujuzane kuhusu ukweli wa tetesi hiyo!!
Natanguliza shukurani ..
Karibuni kuchangia mada
Basi waliibadilisha baadae, na mpaka form6 wa mwaka huu mtihani ni mwezi wa 5Sio kawaida kufanya mitihani mwezi May, ilibadilishwa tu miaka ya juzijuzi, sie tuliikuta hio februari na ilikuepo miaka mingi nyuma