Form 6 leaver punguzeni presha!!

Form 6 leaver punguzeni presha!!

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,133
Reaction score
661
Mimi nimechoshwa na baadhi ya thread za watu,najua kila mtu anahamu ya kujua amepagwa wapi,ama ndugu yake amepangwa wapi. Lakini tatizo watu wengine humu wanatumia vibaya hili jukwaa,kama mtu huna taarifa za uhakika,ama tetesi zenye vyanzo vya uhakika,usipost kitu humu(ni ushauri tu). Mimi nadhani thread kama ya huyu jamaa aliyetujulisha kuhusu majina ya wale wanaopaswa kurekebisha baadhi ya mambo ndo zinatakiwa kw a sasa. Msitupandishie na wengine presha humu.
 
Presha inapanda presha inashuka...LOL.. Poleni wanavyuo watarajali
 
Waache bana, ndio maan aya JF! JF kaz yake sio kujadili windowshopping za machopper tu!
 
Tatizo kila mtu anataka kujifanya yupo up to date that is why yote yanatokea na pia ni matokeo ya utandawazi kuzingekua na hilo yote yasinge tokea utakuta mtu kadokezwa tu basi nayeye anatafuta sehemu ya kutoa kilichokuwepo moyoni mweke kimsingi unatakiwa wewe msomaji ukiona uzii wa ovyo temana nao.
 
Back
Top Bottom