Mimi nimechoshwa na baadhi ya thread za watu,najua kila mtu anahamu ya kujua amepagwa wapi,ama ndugu yake amepangwa wapi. Lakini tatizo watu wengine humu wanatumia vibaya hili jukwaa,kama mtu huna taarifa za uhakika,ama tetesi zenye vyanzo vya uhakika,usipost kitu humu(ni ushauri tu). Mimi nadhani thread kama ya huyu jamaa aliyetujulisha kuhusu majina ya wale wanaopaswa kurekebisha baadhi ya mambo ndo zinatakiwa kw a sasa. Msitupandishie na wengine presha humu.