Kapax JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 215 Reaction score 21 Oct 7, 2012 #1 jamani wadau ninapenda kuuliza mtihani wa form 6 kwa form six wa mwaka huu unafantika lini kwa sababu haielewek nilin hasa utafanyika kwa aliye na taarifa rasmi tupia haapa...
jamani wadau ninapenda kuuliza mtihani wa form 6 kwa form six wa mwaka huu unafantika lini kwa sababu haielewek nilin hasa utafanyika kwa aliye na taarifa rasmi tupia haapa...
JOAQUEM JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 2,020 Reaction score 1,671 Oct 7, 2012 #2 mwaka huu hamna mtihani mwingine wa form six kwani ulishafanyika tangu mwezi wa pili na watu wameshaanza kuripoti chuoni...
mwaka huu hamna mtihani mwingine wa form six kwani ulishafanyika tangu mwezi wa pili na watu wameshaanza kuripoti chuoni...
J JPM605 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2012 Posts 216 Reaction score 122 Oct 7, 2012 #3 Mwaka 2013 f.6 watafanya pepa mwezi mei cheki hapa The National Examinations Council of Tanzania
Rich 4rever Member Joined Oct 6, 2012 Posts 30 Reaction score 1 Oct 7, 2012 #4 Ni kweli wadau mwakani ngoma hadi mwezi wa tano!!