Form five majina yashatumwa mtapata joining instructions wiki ijayo

nipo fild shule Fulan.mbona cjaona mambo ayo. Post bado
mimi ninayekwambia ni makamu wa shule na joining naziandaa ofisini kwangu ila huwez kujua kwan kuna barua inasema tusitangaze kwa watu mpaka wizara itakapotangaza.Kama shule yako ina advance muulize vizuri mkuu wa shule
 
ok fine.. Kwahyo mmeambiwa f5 wataanza kuripoti lini? Au nayo bado nayo ni siri ya office?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…