Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza na certificate ya mechanical eng au computer science certificate(certicate mwaka 1,diploma 2 na mpaka degree)Chuo kikuu cha dodoma kinatoa hii kitu na watu wengi wamefikia mpaka degree ya computer science.Usipoteze muda wako kurisit utaumia we jichange chukua form udom upige mzigo utapishana na mtu atakaye piga PCM kwa mwaka mmoja tu,yeye akiwa mwaka wa pili wewe wa kwanza(degree level).But ukiona inashindikana financial jaribu kurisit usiharibu mipango yako kwa kuacha kusoma kabisa.Mtangulize Mungu kwanza everything itakuwa poa.
Ninatoa shukrani kwa Mungu kwa matokeo nilio yapata.
Wana jukwaa ninaomba ushauri nifanye nini kulingana na matokeo yangu....
Civs-D
Kisw-D
Hist-F
Geo-D
Engl-F
Bio-F
Phy-C
Chem-D
B/Math-D
Div.. IV.28.
Shukrani zangu ziwafikie wote.
| 28 |
28
[TD="width: 4%"] IV
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-D HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
Mkuu nistdanavigator, top kibobo au yeyote mwenye ushauri mzuri hebu nisaidieni nami nimfanyaje/ nimpeleke wapi huyu kijana.
Anza na certificate ya mechanical eng au computer science certificate(certicate mwaka 1,diploma 2 na mpaka degree)Chuo kikuu cha dodoma kinatoa hii kitu na watu wengi wamefikia mpaka degree ya computer science... Mungu kwanza everythin....
nashukur sana.nina kipaji kizur sana katika fani ya compture... Ila nahitji chuo kizur kitakacho nifahaa nisaidie kunishaur kuhusu chuo naomba
ni vema hujajificha umekuja hapa kuomba ushauri,utajivunia uamuzi wako huu siku zote za maisha yako,tembelea website ya chuo chetu The Arusha East African Training Institute (TAEATI) The Arusha East African Training Institute .Naamini unaweza kuona mwanga mpya utakaokupeleka katika njia ya mafanikio
28 IV
[TD="width: 58%"] CIV-D HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-F [/TD]
Mkuu nistdanavigator, top kibobo au yeyote mwenye ushauri mzuri hebu nisaidieni nami nimfanyaje/ nimpeleke wapi huyu kijana.
ni COMPUTER na sio computure!!! kama wadau walivyosema hapo juu!!!! computer science au hata computer engineering(na hii na hii ndio ningekushauri zaidi) ....pia kuna hiyo mechanical engineering pia ni nzuri sana....kuna vyuo kama st joseph ya dar(kama home pako fresh) na kuna DIT na MIST!!! so we mwenyewe cha msingi matokeo yasikuchanganye bado nafasi ipo!!!!!Anza na certificate ya mechanical eng au computer science certificate(certicate mwaka 1,diploma 2 na mpaka degree)Chuo kikuu cha dodoma kinatoa hii kitu na watu wengi wamefikia mpaka degree ya computer science... Mungu kwanza everythin....
nashukur sana.nina kipaji kizur sana katika fani ya compture... Ila nahitji chuo kizur kitakacho nifahaa nisaidie kunishaur kuhusu chuo naomba
Ninatoa shukrani kwa Mungu kwa matokeo nilio yapata.
Wana jukwaa ninaomba ushauri nifanye nini kulingana na matokeo yangu....
Civs-D
Kisw-D
Hist-F
Geo-D
Engl-F
Bio-F
Phy-C
Chem-D
B/Math-D
Div.. IV.28.
Shukrani zangu ziwafikie wote.
ni COMPUTER na sio computure!!! kama wadau walivyosema hapo juu!!!! computer science au hata computer engineering(na hii na hii ndio ningekushauri zaidi) ....pia kuna hiyo mechanical engineering pia ni nzuri sana....kuna vyuo kama st joseph ya dar(kama home pako fresh) na kuna DIT na MIST!!! so we mwenyewe cha msingi matokeo yasikuchanganye bado nafasi ipo!!!!!
erro typing + stress za matokeo.
Thanks. Kuhusu DIT ndio nataka kufuatilia swala la ada. Home sio vizuri sana ata mie natafta chuo angalau kiswe na ada kubwa sana. Ili familia iweze kuendelea kuwa stable
Unafahamu umeleta matokeo yanayochanganya kidogo, yaani umefaulu somo la Physics lakini umefeli masomo mengine ya ENGLISH na Biology.
Ila sifahamu position yako kifamilia au kifwedha isipokuwa kwa suala lako kama upo katikati basi usipoteze muda kwenye kurudia mitihani.
Sasa hii division si nzuri sana kwa kuzingatia kwamba una tatizo kwenye somo la Kiingereza ambalo kushindwa somo hilo kunapelekea kushindwa masomo mengine kama History na Geography.
Lakini kuna options ambazo zinaweza kukukomboa kama vile ukienda kusomea ualimu na ukazingatia masomo ya Sayansi ingawa una kazi ya kurekebisha masomo ya Kiingereza, Hesabu na hilo la Biology. Ukiwa mwalimu utakuwa na nafasi nzuri ya kujiendeleza huku ukiwa kazini na kutakusaidia kwenye suala la kipato.
Option nyingine ni kwenda kujifunza ufundi kule VETA ambako utapata ujuzi wa aina mablimbali kama ufundi magari wa kitaalam, Computers na vyombo vingine vya umeme na utakuwa unapata elimu yenye uhakika na kuweza kujipatia mapato mfukoni na wakati huohuo ukawa umetafuta ajira sehemu yenye kutoa huduma za ufundi magari au computer.
Ila English ni somo muhimu sana na umepoteza nafasi ya kujifunza somo hilo ambalo lingekusaidia kujieleza kwenye mitihani uliyofeli hasa History na Biology.
ENGLISH Sina tatizo. Ila Siwezi kukudhibitishia kulingana na hiyo F katika matokeo yangu.
Niko vizuri japo sio sana lakini nnajiamin.
Kel.G
Unafikiri ni kwanini umefeli masomo kama English na History?