Form four eti uyu kijana ndo aliwasaidia ili serikali iresit mtihani

Form four eti uyu kijana ndo aliwasaidia ili serikali iresit mtihani

Gsana

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
4,383
Reaction score
1,337
Habari wanaJf, leo nimecheka sana baada ya kukutana na ujumbe wa kijana aliyewasaidia form four kureverse matokeo mwaka huu2013. Anajitapa eti amehakikisha badala ya Form Four Failures kuresit, serikali ndo imeresit yenyewe...ujumbe mrefu na quote kijisehemu akiflow kwa kimombo....

Pliz my name iz MKUBWA RAJ, I am finish form for. Ze everibody is to say we get za divishen 0. I am vere vere inteligens , but pipoz don't like me. I have experience in singing bongoflava, so pipoz dont like me and are jelas. The habe put majik so I get divisen 0. But am cleva becoz forekzampo, what is the fomula for water? Ze fomula for water iz eich to o. Now why you give me dishen o?Ok ask me anagha forekzampo what is presient of america ?The prezident of america iz obama. What is the next country to USA? Its USB,....So the gavament should change my markzto dishen two or three because the youth are the future of nation. If we get 0, the future of the nation is dishen 0. So give us markz becoz of the future. So, the gavament shal not loose enything to give us dishen 2 or 3, if A grade is put 100-60 and b iz 59-35 and C is 34-18 Dis 17-7 and F is 6- zero or to those pictures of Zombi , then me and many pipoz of my friends wil get dishen 2 or 3 becoz future is from dishen 1 to 3.
Pliz mzee put on fb wall so the Plezident wil see , and if posible the necta or gavament must resit the exam and give us dishen 2.....Thenk yu.


MATOKEO YA MAJIBU YA MKUBWA RAJ NI WEEK HII, TUNAYANGOJA KWA HAMU.
 
Mavi matupu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
....So the gavament should change my markzto dishen two or three because the youth are the future of nation. If we get 0, the future of the nation is dishen 0. So give us markz becoz of the future. .....

Nimeipenda hii ...kwa sababu imeiwezesha kucheka.

Tafsiri isiyo rasmi

Eti" .... Hivyo serikali inapaswa kubadilisha maksi zangu kuwa dalaja la pili au la tatu, kwa kwa sababu vijana ni taifa la kesho. Kama mimi na wenzangu (ambao ni vijana) tutapa dalaja la sifuri basi taifa la kesho litakuwa la dalaja la sifuri. Hivyo tupe maksi kwa ajili ya kunusuru taifa la kesho lisiwe la dalaja sifuri."
 
Back
Top Bottom