hv ni kweli mtian wa form four ambao matokeo yao tumepata kwa sasa ni kweli wanatakiwa kurudia mtiani????.........maaana wana JF kwa sasa mitaani wadogo zetu wanasema kwamba wameambiwa na walimu kwanba kuna hii ki2
kwa yeyote ambae anajua hili swalla atusaidie.....:A S 114::A S 114: