D dadazuu Member Joined Dec 31, 2013 Posts 46 Reaction score 8 Jan 13, 2014 #1 Msaada wana JF tuwapeleke wapi wanetu waliomaliza form four 2013!! Maana ramani yao itasomeka baada ya matokeo ( sijui lin) na watasubiri hadi wapangiwe high schools au vyuo( mwezi gani sijui) msaada wa mawazo jameni
Msaada wana JF tuwapeleke wapi wanetu waliomaliza form four 2013!! Maana ramani yao itasomeka baada ya matokeo ( sijui lin) na watasubiri hadi wapangiwe high schools au vyuo( mwezi gani sijui) msaada wa mawazo jameni