Form four results 2012

Yameshatoka nenda shulen kwako wamebandka wahi.
 
...una haraka...!!Yatatoka wakati ukifika.
 
Mnarudia kufanya,wengi mlidanganya
 
Nadhani katikati ya mwezi wa pili au mwanzoni mwa mwezi wa tatu, tayari walimu wamemaliza kusahisha tangu mwezi wa 12 mwanzoni. Kuwa na subira
 
Kijana kama wewe unatambua thamani ya Mungu katika maisha yako,mwombe sasa kwa kuwa haujui siku wala saa pale matokeo yatakapotoka,so mwombe Mungu matokeo mazuri lakini pia yakija tofouti Mungu akupe uvumilivu katika wakati huo mgumu ambao haujawahi pata katika maisha yako ili uweze kupata plan B iliyo nzuri kwa maisha yako,keep on praying form four leave happy or sad is around the corner.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…