form four watachukuliwa hata kama hauna credit?

form four watachukuliwa hata kama hauna credit?

Erick tryphone

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
387
Reaction score
84
Kuna tetesi kua wizara ya elimu itawachukua hata wale ambao wana D kwenda form five je kuna ukweli wowote juu wa hili?
 
Halafu?ili iweje?yaani pamoja na usanii wa kuchakachua matokeo bado wanataka kuleta upuuzi mwingine tena?siyo mbaya ila waje kufundisha wao
 
Nyie hzo porojo mme zitolea wap.?
 
Back
Top Bottom